Powered By Blogger

Wednesday, 14 March 2018

WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWAKUKOSA MAARIFA-HOSEA 4:6





MAMBO 10 YAKUKUSAIDIA KUONDOKANA NA TATIZO
UTANGULIZI
1: Kubali tatizo.

Mateso ya watu wengi matatizo yao hawayaoni wanaona ya wengine hawana muda wa kushugulika na matatizo yao,
wanataka kushugulika na yawengine kitu ambacho si rahisi ukitaka kushugulikia jambo aza kujishugulikia wewe kwanza kabla hujampa mwingine hadabu jipe wewe kwanza, usinyooshe mkono wa kupokea kabila hujatoa
usinyooshe mkono wa kuvuna ikiwa wewe hujapanda utakuwa mwizi,

chukua hatua ukisema  10 usisahau 1 nayo niyakwanza kabla ya 10

jihamasishe mwenyewe katika mafanikio yako Jambo la kwanza ili uweze kuondokana na hali ya kuchoka na kutojisikia kuchukua hatua ya kitendo juu ya malengo na mipango yako uliyonayo ni kuamua kulikubali tatizo. Ndio. Kubali 

kuwa una tatizo la kutokuchukua hatua za haraka na mara kwa mara kila unapotaka kufanya hivyo,

 kwani unapokubali tatizo unatoa nafasi ya kulishugulikia hilo tatizo kwa moyo wako wote hadi linaondoka.

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...