Powered By Blogger

Wednesday, 17 June 2015

Baada ya Maombezi ya Mtu wa Mungu Nabii Samson Mboya



Taarifa toka Kitengo cha Habari Hema ya Kinabii Bonde la Uzima kwamba Huyu Ndiye kijana aliyekuwa amepoteza Uzima wake  Baada ya Maombi Ya Mtu wa Mungu Nabii Samson Mboya sasa ni Mzima wa Afya Utukufu ni Kwa Bwana wetu Yesu Kristo,

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...