Powered By Blogger

Wednesday, 17 June 2015

Shuhuda ya Ajabu Toka kwa wanahabari-wa HKB Tanzania


Masaa 5 ya maaombi ya usiku huyu ndugu uhai wamrudia tena


Taarifa kamili kutoka kwa kitengo cha Habari Hema ya kinabii-bonde la Uzima(HKB)

Kijana Huyu Mkazi wa Tabora alikuja kusalimia kwa Ndugu Yake anayeishi Mkoani Geita kama Wiki  Moja hivyi ndipo tukio hilo lilitokea  alikuwa anatoka Nyumbani alikokuwa anaishi kuelekea centerni  Ghafla getini mwa nyumba aliyokuwa anaishi akaanguka na kupoteza fahamu kabisa

Wapita njia walipomuona wakakusanyika na kuomba msaada kwa  wahusika wa nyumba ndipo ndugu alipokuja akapatwa na mshangao mkubwa kwakuwa walikuwa walikuwa pamoja kitambo kidogo kabla huyu kijana hajapata janga kubwa namna hii, ndipo ndugu wa kijana huyu aliye lala chini  alipochukuliwa  na kutaka kumuwahisha hospitali Lakini ndipo waliona wapiti nyumbani kwa yule

Mtu wa Mungu Nabii Samson  ilikuwa usiku was aa 3:30 usiku ndipo maombi yalianza yalichukuwa masaa kam matano na kijana huyu alianza kuonekana akigeuza macho yake kila upande ila alikuwa hawezi kuongea Mtu wa Mungu aliendelea kuomba hatimae Pepo mchafu waliyokuwa wamesha pora uhai wakapiga kelele kuwa tunaondokaaaaaa tusamehee tunaungua tuache tuendee akaamka hata sasa ni mzima kabisa, hiyo ndiyo kazi ya Yesu kristo  Yohana 10:10 Yesu alikuja watu wawe na Uzima tena wawe nao tele

Mungu bado anaongea kupitia  watumishi wake sifa na Utukufu ni kwa yeye Aliyetenda mambo yaajabu na kweli …….matukio Zaidi kwa wana Habari wetu wa kanisa la Hema ya kinabii-Bonde la Uzima  fuatilia..

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...