Masaa 5 ya maaombi ya usiku huyu ndugu uhai wamrudia tena
Taarifa
kamili kutoka kwa kitengo cha Habari Hema ya kinabii-bonde la Uzima(HKB)
Kijana Huyu
Mkazi wa Tabora alikuja kusalimia kwa Ndugu Yake anayeishi Mkoani Geita kama
Wiki Moja hivyi ndipo tukio hilo
lilitokea alikuwa anatoka Nyumbani
alikokuwa anaishi kuelekea centerni
Ghafla getini mwa nyumba aliyokuwa anaishi akaanguka na kupoteza fahamu
kabisa
Wapita njia
walipomuona wakakusanyika na kuomba msaada kwa
wahusika wa nyumba ndipo ndugu alipokuja akapatwa na mshangao mkubwa
kwakuwa walikuwa walikuwa pamoja kitambo kidogo kabla huyu kijana hajapata
janga kubwa namna hii, ndipo ndugu wa kijana huyu aliye lala chini alipochukuliwa na kutaka kumuwahisha hospitali Lakini ndipo
waliona wapiti nyumbani kwa yule
Mtu wa Mungu
Nabii Samson ilikuwa usiku was aa 3:30
usiku ndipo maombi yalianza yalichukuwa masaa kama matano na kijana huyu alianza
kuonekana akigeuza macho yake kila upande ila alikuwa hawezi kuongea Mtu wa
Mungu aliendelea kuomba hatimaye Pepo mchafu waliyokuwa wamesha pora uhai wakapiga
kelele kuwa tunaondokaaaaaa tusamehee tunaungua tuache tuendee akaamka hata
sasa ni mzima kabisa, hiyo ndiyo kazi ya Yesu kristo Yohana 10:10 Yesu alikuja watu wawe na Uzima
tena wawe nao tele