Powered By Blogger

Wednesday, 17 June 2015

Usiku huo huo alipokea Uponyaji Baada ya maombezi ya Mtu Wa Mungu Nabii Samson


    Tayari baada ya Maombezi ya Mtu wa Mungu Nabii Samson  Baada ya kijana kurudishiwa Uzima Ataka kukimbia lakini Kwa Uwezo  wa Mungu Kijana sasa ni Mzima Kabisa  Ni Maombi ya Dharura yalifanyanyikia nyumbani kwa Mutu wa Mungu  Usiku.

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...