BABA NABII SAMSON MBOYA AKIHUBIRI JUU YA
AKILI ZILIZO IBIWA
MIKUTANO YA MITAA
SIKU YA 1
MARIKO
5:1-17 ,
Isaya 42:22, Wagalatia 3:1,
Wakafika
ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi. Na alipokwisha kushuka chomboni, mara
alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu;
makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu ye yote
aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo;
Isaya 42:22 ……..watu hawa
wameibiwa wamekuwa mawindo wamenaswa katika mashimo katika magereza
WATU WALIOFICHIWA MITEGO
SIKU YA PILI: ZABURI
35:7, mithali
12:8,… [Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia
shimo nafsi
YEREMIA
5:26………. [Maana katika watu wangu wameonekana watu
waovu; huotea kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu.
SIKU YA TATU MATHAYO 10:36,
KUMTAMBUA ADUI YAKO
ZABURI
140:5……..[Wenye kiburi wamenifichia mtego na kamba; Wametandika wavu
kando ya njia; Wameniwekea matanzi.]… Kwenye hili andiko yapo mambo manne yaliyokaa kwa
mtindo wa kamba: Mtego, kamba, wavu na matanzi. Kamba iitwayo ‘tanzi’ ni ile
ya kusababisha kifo. Ndiyo maana watu wanaojinyonga, hutumia tanzi kwenye
shingo zao. Hizi zote ni kamba zitokazo shimoni (kuzimu).
Njia iliyoandikwa
hapa siyo njia zako za kutembelea hapa duniani. Ni ile njia ya kuelekea
kwenye mafanikio yako, kwenye njia ya kuelekea kuolewakwako, kwenye njia ya
kufungua mradi wako, kwenye njia ya
Baraka zako. Katika njia hiyo, wapo watu wanaoweka mitego, tanzi, kamba, wavu
na tanzi ili mtu asifikie mwisho wa hatima yake.
|
MAUTI YA MZALIWA WA KWANZA
MIKUTANO YA MITAA -6000V
SIKU YA 1
MARIKO
5:1-17 , Isaya 42:22, Wagalatia 3:1,Yoshua
6:26
Yoshua 6:26,2 ,1wAFALME
16:34 Naye Yoshua akawaapisha kiapo wakati ule,
akasema, Na alaaniwe mbele za Bwana mtu yule atakayeinuka na kuujenga tena
mji huu wa Yeriko; ataweka msingi wake kwa kufiliwa na mzaliwa wa kwanza
wake, tena atayasimamisha malango yake kwa kufiliwa na mtoto wake mwanamume
aliye mdogo.
1WAFALME
16:34 MAZARA YA WALIO JARIBU,
Katika
siku zake, Hieli Mbetheli akajenga Yeriko;
akatia misingi yake kwa kufiwa na Abiramu mzaliwa wake wa kwanza, na kuyaweka
malango yake kwa kufiwa na mwana wake mdogo Segubu; sawasawa na neno la Bwana
alilolinena kwa Yoshua mwana wa Nuni.
. WATU WALIOFICHIWA MITEGO
SIKU YA
PILI: ZABURI 35:7, mithali 12:8,…
[Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo
nafsi
YEREMIA
5:26………. [Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu; huotea kama vile
watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu.
SIKU YA
TATU MATHAYO 10:36, KUMTAMBUA ADUI
YAKO
ZABURI
140:5……..[Wenye kiburi wamenifichia mtego na kamba; Wametandika wavu kando ya
njia; Wameniwekea matanzi.]… Kwenye hili
andiko yapo mambo manne yaliyokaa kwa mtindo wa kamba: Mtego, kamba,
wavu na matanzi. Kamba iitwayo ‘tanzi’ ni ile ya kusababisha kifo. Ndiyo
maana watu wanaojinyonga, hutumia tanzi kwenye shingo zao. Hizi zote ni kamba
zitokazo shimoni (kuzimu). Njia iliyoandikwa hapa siyo njia zako za
kutembelea hapa duniani. Ni ile njia ya kuelekea kwenye mafanikio yako,
kwenye njia ya kuelekea kuolewakwako, kwenye njia ya kufungua mradi wako,
kwenye njia ya Baraka zako. Katika
njia hiyo, wapo watu wanaoweka mitego, tanzi, kamba, wavu na tanzi ili mtu
asifikie mwisho wa hatima yake.
SIKU YA MABAYA
“Mhuburi7: 14 Siku ya
kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja
kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote
litakalofuata baada yake.”
“Mithali 16: 4 Bwana amefanya kila kitu
kwa kusudi lake; Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya. “
Waefeso 6:13 Kwa sababu hiyo
twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha
kuyatimiza yote, kusimama.
MAISHA YA MAKABURINI
MARIKO 5:1-17, Wagalatia 3:1,
Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka
nchi ya Wagerasi. Na alipokwisha
kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye
pepo mchafu; makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu ye yote
aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo;
MAISHA
YALIYOFICHWAA MASHIMONI
Isaya 42:22 ……..watu hawa wameibiwa wamekuwa
mawindo wamenaswa katika mashimo katika magereza
ZABURI 35:7, ,… [Maana bila sababu wamenifichia
wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi , Mithali 12:8 Mtu atasifiwa kwa kadiri ya akili zake; Bali
mwenye moyo wa ukaidi atadharauliwa
|