Maelfu ya watu wakiwa wanafurahia ujumbe wa Mungu ndani ya Hema ya kinabii kwa mtu wa Mungu Baba Nabii Samson Mboya
Utangulizi
kimsingi mtu anayeitwa mtumishi maana yake anatumikia bwana flani yaani anafanya kwa agizo si lake bali ni la yule aliyeagiza na mtu anapopingana na agizo la mtumishi maanayake anapingana na mtumaji,
sasa basi jambo lolote linalokutokea wewe kama mtumishi wa Mungu usilichukulie kama ni tatizo lako na kuanza kujitetea bali mwachie aliyekuagiza ajitetee yeye mwenyewe, au akutete wewe vinginevyo utajikuta unahama katika kusudi la yule aliye kutuma
Maudhi kwa watumishi wa Mungu
imeandikwa 15:19-20
Watumishi wa Mungu wanaohubiri kweli
ya Neno la Mungu na kushuhudia
ulimwengu ya kuwa kazi zake ni
mbovu, ulimwengu huwachukia sana Mfalme Ahabu,
mtu wa ulimwengu, kwa msingi huu,
alimchukia Nabii Mikaya mwana wa Imla
aliyehubiri kweli
(YOHANA 7:7; 2
NYAKATI 18:6-7). Watu vuguvugu wanaojiita
wameokoka, huku wanaipenda dunia,
kwa jinsi hiihii, kama Ahabu huwachukia
Watumishi wa Mungu wanaoihubiri
kweli.
Haya maudhi yanawaogopesa watu wengine wanaogopa kuendelea kuinena kweli kwasababu na wao wataonekana wabaya au wataonekana wao hawakuitwa wewe kama ni mtumishi wa Mungu simama imara nena kweli yote imeandikwa uwe mwaminifu hata kufa,
inaendelea sehemu ya pili....................... kwa ushauri au msaada wa maombi wasliana KWA SMS TU na Baba Nabii NO.0743504361