Powered By Blogger

Tuesday, 6 March 2018

kuteguwa Mitego ya Mauti


 

Ndani ya Hema ya Hema ya kinabii watu wa Mungu wakiwa na furaha juu ya ujumbe aliofundisha Baba Nabii Samson Mboya

Wana wa Manabii wakiwa wanapata ufahamu juu ya Kuteguwa Mitego ya Mauti .mauti ya Biashara,kazi,ndoa ,uchumba,kazi,


imeandikwa zaburi 64:5 Walijifanya hodari katika jambo baya; Hushauriana juu ya kutega mitego; Husema, Ni nani atakayeiona?
Hutunga maovu; husema, Tumefanya shauri kamili; Na mawazo ya ndani ya kila mmoja wao, Na moyo wake, huwa siri kabisa.







Kwa hiyo Mungu atawapiga shabaha, Kwa mshale mara watapigwa.  Ndivyo watakavyokwazwa, Ulimi wao wenyewe ukishindana nao. Wote wawaonao watatikisa kichwa. Na watu wote wataogopa, Wataitangaza kazi ya Mungu, Na kuyafahamu matendo yake.
1 Mwenye haki atamfurahia Bwana na kumkimbilia, Na wote wenye moyo wa ad

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...