Powered By Blogger

Thursday, 26 February 2015

HATUA YAKO NDIO KESHO YAKO NA MAFANIKIA YAKO

WENGI WAMESHINDWA KUANZISHA  BIASHARA ZAO,TATIZO SIO ET WAMEKOSA MITAJI BALI TU WAMESHINDWA KUCHUKUA HATUA KATIKA KUANZISHA BIASHARA ZAO. TAMBUA YA KUWA MUNGU ANAKUSUBILIA UCHUKUE HATUA, TU, HAIJALISHI NI KWENYE KAZI YAKO, FAMILIA YAKO, AMA BIASHARA YAKO MAANA YEYE ANAJUA HAJA ZA MIOYO YETU, ILA HAWEZI KUKUPATIA HITAJI HILO PASIPO KUCHUKUA HATUA NA KUMUOMBA HITAJI HILO.


 KWENYE HATUA ZAKO NDIPO KUNAMAFANIKO YAKO USIPO CHUKUA HATUA UTABAKIA PALE ULIPO. NA MAFANIKIO YAKO YATABAKIA HAPO ULIPO HIVYO CHUKUA HATUA SASA KWA AJILI YA BIASHARA YAKO NA FAMILIA YAKO 

MTU WA MUNGU YUPO PAMOJA NAWE POPOTE PALE ULIPO HAIJALISHI NI SEHEMU GANI NA MBALI KIASI GANI

UNAWEZA PIGA SIMU NA UTAPOKEA MAOMBI

KESHO YAKO UNAIANDAA LEO MTU WA MUNGU ANALO NENO LA KINABII JUU YA KESHO YAKO




KUANGAIKA KWAKO NI SABABU TU UMESHINDWA KUITAMBUA KESHO YAKO. WATU WENGI WAMESHINDWA KUTENGENEZA KESHO ZAO KISA TU WAMESHINDWA KUCHUKUA HATUA MAISHANI MWAO. JE? WEWE KESHO YAKO NI NINI? TAMBUA YA KUWA SHETANI ANAPAMBANA KUIZUIA KESHO YAKO MTU WA MUNGU NABII YUPO HEMA YA KINABII TAYARI KWA KUFANYA MAOMBI YA KUTENGENEZA KESHO YAKO







Usijaribu kudharau mwanzo mwako


SOMO: USIUDHARAU MWANZO WAKO


 

 Somo: Na  Mtu wa Mungu Nabii Samson Mboya,je Unapenda  ni seme Jambo baya katika maisha yako ni kuudharau mwanzo wako wa kila jambo unalolifanya,,,,,,,,,,

Nataka mahali pa kumwabudu Mungu



Kutana na Mtu wa Mungu  kwaajili ya ushauri na Maombezi pale Hema Ya Kinabii

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...