Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

Kanisa la Maombezi Mwanza-Geita Nyankumbu……


Huduma ya Ushauri na Maombezi Njoo hemani……


 

Kundi la watu wengi wakimsubiri  mtu wa Mungu kwaajili ya huduma ya Hushauri na maombezi Ndani ya Hema ya kinabii

Unakaribishwa na wewe kuungana na Mamia ya watu wanaokimbilia katika Kanisa la Hema ya Kinabii Nyankumbu kwaanjili ya Huduma ya Ki-Riho

Mkaribishe na  Rafiki yako anayesumbuliwa na Tatizo lolote lile,

Yaliyoshindikana kwa wanadamu  Yesu kristo anayaweza yote kabisa,

 

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...