Huduma
ya Ushauri na Maombezi Njoo hemani……
Kundi
la watu wengi wakimsubiri mtu wa Mungu
kwaajili ya huduma ya Hushauri na maombezi Ndani ya Hema ya kinabii
Unakaribishwa
na wewe kuungana na Mamia ya watu wanaokimbilia katika Kanisa la Hema ya
Kinabii Nyankumbu kwaanjili ya Huduma ya Ki-Riho
Mkaribishe
na Rafiki yako anayesumbuliwa na Tatizo
lolote lile,
Yaliyoshindikana
kwa wanadamu Yesu kristo anayaweza yote
kabisa,