Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

Jeshi la Ibilisi likiwa katika wakati Mugumu

sWakati wote Mahali Mungu anapofanya kazi yake shetani huwa anapata shida Picha unayoingalia sasa Hivi Ni kijana aliyekuwa anateswa na Nguvu za Giza kwa Muda Mrefu sana Bila hata Yeye kujuwa Kama amefungwa na Muovu Baada ya Mtu wa Mungu Kuanza tu Maombi

Mapepo yakataka kumtorosha kutoka katika Ibada ile iliyokuwa ni Maalumu kwa Watu wa Mungu waliofanikiwa Kuudhuria

Baada ya ya Maombi Ghafla Ibilisi alitekwa nyara na Jeshi La Mbinguni Ndipo huyo kijana kwakutojifahamu akajikuta yupo inje ya kanisa chini ameangushwa na Mapepo

Na Anashuhudia kuwa sasa ni Mzima kabisa Jina la bwana libarikiwe,

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...