Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

Aponywa pepo Bubu

Bibi huyu alikuwa hawezi kabisa kuongea pindi kabla hajafanyiwa maombi na Mtu wa Mungu, ila baada ya maombezi bibi huyu apokea muujiza wake wa kufunguliwa kutoka katika ububu na kuweza kuongea

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...