Powered By Blogger

Wednesday, 11 February 2015

IBAADA MAALUMU NDANI YA HEMA YA KINABII-BONDE LA UZIMA- NYANKUMBU, GEITA

MWALIKO MAALUMU NDANI YA HEMA YA KINABII 
NA NABII SAMSON

 Ni siku ya jumapili asubuhi saa 3:30-6:30 mchana, Unamahitaji ya namna yoyote ile au unasumbuliwa na matatizo mbalimbali kwa mda mrefu, umekuwa na maswali mengi juu ya hatma ya maisha yako, umekosa majibu, bado magonjwa, mikosi, nguvu za giza, ndoto mbaya, kukataliwa na jamii, balaa za kila namna hazitaki kukuachia.

Sasa umepoteza tumaini, Ndugu yangu kumbuka  yaliyo shindikana kwa wanadamu wote kwa Mungu yanawezekana bado hujachelewa kwa upendo wa Mungu hapendi uangamie wala upotee, wala uendelee na mateso uliyonayo.

Hii ni habari njema kwa neema ya ajabu iliyoambatana na upako wa uponyaji, kufungua nira na  kuatakasa, Mungu ameyaona mateso yako amemtuma Mtu wa Mungu Nabii Samson Mboya kwa ajili ya kukusaidia kataika maombi pale katika Hema ya Kinabii, Nyankumbu-Geita.


Ikiwa upo maeneo ya kanda ya ziwa unakaribishwa saana yapo majibu yako pale Hemani
kutana na Mtu wa Mungu aliyepakwa mafuta na Bwana Yesu kwa ajili ya kuponya watu magonjwa yao, kuwafungua watu katika vifungo vyao na kuwandaa watu Mungu tayari kwa ujio wa Kristo.

Mungu amempatia Neema ya kutafsiri Ndoto na maono


Ikiwa umepokea mwaliko huu tafadhari ni vyema ukahudhuria ibaada siku ya ijumapili hii.

Umbali usiwe kikwazo kwako bado unaweza kushauriwa na kuombewa kwa njia ya simu
Mtu wa Mungu Nabii atakuhudumia piga simu sasa +255756809209  

KUMBUKA HUDUMA HII NI BURE KABISA MKARIBISHE NA RAFIKI YAKO UJE NAE PALE, WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...