Powered By Blogger

Thursday, 26 February 2015

KESHO YAKO UNAIANDAA LEO MTU WA MUNGU ANALO NENO LA KINABII JUU YA KESHO YAKO




KUANGAIKA KWAKO NI SABABU TU UMESHINDWA KUITAMBUA KESHO YAKO. WATU WENGI WAMESHINDWA KUTENGENEZA KESHO ZAO KISA TU WAMESHINDWA KUCHUKUA HATUA MAISHANI MWAO. JE? WEWE KESHO YAKO NI NINI? TAMBUA YA KUWA SHETANI ANAPAMBANA KUIZUIA KESHO YAKO MTU WA MUNGU NABII YUPO HEMA YA KINABII TAYARI KWA KUFANYA MAOMBI YA KUTENGENEZA KESHO YAKO







Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...