Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

JE UNAHITAJI KUSAIDIWA

Je unahitaji kusaidiwa ijue kweli nayo itakuweka wazi kama vile kitabu cha Mathayo 10:40 biblia inasema awapokea ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma.  Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii, naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki.

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...