Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

Serikali ya kijiji yabaki Hoi Baada ya kushuhudia vitu vya hatari

Yote hii ni baada ya maombi ndani ya hema ya kinabii na Mtu wa Mungu Samson mboya wachawi wakabidhisha silaha zao mbele ya serikari ya kijiji cha nyankumbu na wao kukili kutoendelea na uchawi tena na kumgeukia Yesu Kristo

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...