Ukombezi Umewasili Tanzania kwa Kuanzia Nyankumbu
Mpendwa Msomaji Mungu Akusaidie sana Juu ya kile unachokitafuta Upate kitu sahihi kwa wakati sahihi uliyoamriwa na Mungu,
Sasa ikiwa uko na hitaji juu ya Ushauri au unahitaji maombezi ukiwa kanda ya ziwa njoo pale hemani Nyankumbu-Geita au Piga simu utafanikiwa kuongea live na Mtu wa Mungu, Nabii Samso