Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

anusurika kuuwawa na mapepo

kijana huyu alikuwa akisumbuliwa na mapepo kwa muda mrefu pasipo yeye kujua, ila ailipofika katika hema ya kinabii nyankumbu mtu wa Mungu Nabii Samson mboya aliweza kumfanyia maombi  na baada ya maombezi aliweza kutapika vitu vya ajabu kabisa na Bwana aliweza kumfungua katika vifungo hivyo  na  kumponya kabisa na sasa ni mzima

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...