Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

Maombi Maalumu kwa wamama wajaa Uzito

Mtu wa Mungu nabii akiwaombea akina mama wajawazito maombi ya kupunguziwa uchungu wakati wa kujifungua katika hema ya kinabii nyankumbu na wengi wao waliweza kujifungua bila uchungu kutokana na maombi ambayo mtu wa Mungu aliyoomba juu yao na baada ya hao kujifungua bila uchungu wamama wengi kutoka kila pande wazidi kuongezeka hemani hivyo ni wakati wako ewe mama popote pale ulipo kuweza kukutana na muujiza wako wakati wa kujifungua mtu wa Mungu yupo tayari kukuombea karibuni saana kama upo mbali na mji wa Geita unaweza kupiga simu na mtu wa Mungu atakufanyia maombi maalumu. 



Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...