Powered By Blogger

Thursday, 12 February 2015

Matukio Ndani ya Hema Yakinabii

Mmoja wa wana Habari wa Kanisa la Hema ya Kinabii Akichukuwa Matukio Baada ya Mauchawi kusalimishwa Mbele ya Madhabahu, endelea kufuatilia matukio haya,Utaona yale Mungu anayoyatenda kila siku kupitia Mtumishi wake Nabii Samson Mboya

Ninawezaje Pata amani?

Unawezaje kupata amani? Baba Nabii akifunua siri ya kuwa na amani kama ya kwake aliyonayo Utangulizi kazi kubwa kabisa kwa Mwanadamu...